Title: MUSWADA WA UTAFITI WAKIELIMU
1MUSWADA WA UTAFITI WAKIELIMU
A PATRICA
2- Mswada -ni makala au mpango ambao huandikwa
kuonyesha vipengele mbalimbali vya utafiti.
3Vipengele vinavyotakiwa kuzingatiwa kwenye mswada
wa utafiti ni
- kuandika Swala la utafiti kwa ufasaha na uwazi
- Malengo ya utafiti
mfano
- Katika utafiti wa wanafunzi kuacha shule, malengo
yanaweza kuwa - Kutafuta sababu za kuacha shule
- Kutafuta matokeo ya kuacha shule
4- Umuhimu na maswali ya utafiti
- Kusudi la utafiti
- Mf kwa nini watoto huacha shule kabla ya wakati
wake katika wilaya ya mvomero?. - Maswali ya utafiti
- Jee ni watoto wangapi wameacha shule kabla ya
wakati - Watoto huacha shule katika madarasa gani kwa
nini? - Kuna utaratibu gani uliowekwa kuhusiana na tatizo
la utoro na kuacha shule kabla ya wakati?njia
zipi zitumike kuzuia tatizo hili lisitokee -
-
5- Dhanio
Ni kauli inayoeleza matarajio au jawabu
linalotakiwa kuthibitishwa na utafiti kama kweli
au si kweli
Umhimu
Dhanio linamweka mtafiti kwenye vipengele
mahususi vya kuchunguzwa
6Pitio la maandiko- Maandiko uliyopitia ili
kujenga hoja ya suala la utafiti.
7- Muundo wa utafiti na namna utakavyoteua sampuli
- Njia za utafiti wa kielimu
-
- Njia ya survey
- Data hukusanya katika eneo kubwa
- Hujumuisha watu wengi katika kutoa habari
- Njia ya kisa mafunzo
- Eneo dogo na watu wachache hufanyiwa utafiti
- Hulenga katika kutafuta chanzo cha tatizo na njia
za kulitatua.
8Sampuli ya utafiti
Njia za kupata sampuli
- Njia ya bahati nasibu
- Njia ya taratibu maalumu
- Njia ya tabaka
9Njia za kukusanya data
- Fomu ya maswali dodoso
- Mwongozo wa usaili
- Orodha hakiki(observation schedule)
Kuchunguza kwa kuzingatia kuona,kusikilizakuvunja
na kisha kuandika habari inayotakiwa katika
uchunguzi huo
10Namna data zitakavyochambuliwa
- Data kwa asilimia-kama idadi ya wahusika ni kubwa
- Data kwa wastani-kokotoa data ujue kwa wastani
watu wansema nini - Data kwa uwiano
Mfano
Ongezeko katika kipengele kimoja linaweza kuoana
na ongezeko katika kipengele kingine
Tafuta uwiano wa ongezeko katika kipengele kimoja
kwa kipengele cha pili
11Mfano wa ratiba ya utekelezaji
Shughuli August August August August Octoba Octoba Octoba Octoba Novemba Novemba Novemba Novemba
Shughuli 1 2 3 4 1 2 3 4 1 2 3 4
1.0 kuandaa vifaa .
1.2 kukusanya data
1.3 kuchambua data
1.4 kuunganisha data
1.5 kuandika ripoti
12Bajeti
Mahitaji Kiasi Jumla
Usafiri 5_at_1,000 5,000
Chakula 5_at_3,000 15,000
Steshenari 6,000 6,000
Jumla 10,000 26,000
13Onyesha jinsi matokeo ya utafiti huo yatakavyo
saidia kupunguza au kuliondoa tatizo lililopo.
14ASANTE KWA KUNISIKILIZA