WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII - PowerPoint PPT Presentation

1 / 26
About This Presentation
Title:

WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII

Description:

E.B.D Humba:Director General National Health Insurance Fund. WIZARA ... MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA. S.L.P 11360, DAR ES SALAAM. Tel: 0 255 2130826/2136406. ... – PowerPoint PPT presentation

Number of Views:1444
Avg rating:3.0/5.0
Slides: 27
Provided by: rmwa
Category:
Tags: afya | jamii | ustawi | wizara | dares

less

Transcript and Presenter's Notes

Title: WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII


1
WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
  • SEMINA ELEKEZI
  • UBORESHAJI WA MFUMO WA BIMA YA AFYA YA TAIFA
  • E.B.D. Humba
  • Mkurugenzi Mkuu
  • Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
  • 2-6 Oktoba 2006. Arusha

2
1.0 UTANGULIZI
  • Sheria ya uanzishwaji
  • Lengo la uanzishwaji

3
2.0 UANACHAMA
  • Watumishi wa Serikali Kuu (Civil Servants),
  • Watumishi wa serikali za mitaa,
  • Watumishi wa Mashirika ya Umma,
  • Maandalizi ya kujumuishwa Polisi, Magereza,
    Uhamiaji na Zimamoto

4
3.0 KUKUA KWA WANUFAIKA WA MFUKO
5
4.0 VITAMBULISHO VYA WANACHAMA
  • Mahitaji ya sasa ya vitambulisho 1,307,923
  • Vitambulisho vilivyotolewa ni 1,047,489
  • Hii ni asilimia 80 ya vitambulisho vyote
    vilivyotarajiwa kutolewa.

6
5.0 CHANGAMOTO YA VITAMBULISHO
  • Vyanzo vya tatizo la vitambulisho
  • I. Mwanachama
  • Ujazaji mbaya wa fomu.
  • II. Mwajiri
  • Kuchelewa kuwasilisha fomu
  • III. Mfuko
  • Kupatiwa anwani zisizo sahihi za waajiri

7
6.0 USAJILI WA VITUO VYA MATIBABU
8
7.0 MABORESHO YA MAFAO
9
.Maboresho
  • Vipimo ( 9 54)
  • Upasuaji (specialized surgeries)
  • Orodha ya Madawa (445 555)
  • Bei ya Madawa imepanda kwa 56
  • Miwani Mfuko umelipa 103,410,000/.
  • Uzibaji wa meno na Mazoezi ya viungo

10
8.0 MAPATO YA MFUKO Shilingi TZ (000,000)
11
9.0 MALIPO KWA WATOA HUDUMA
  • Mfuko unalipia gharama za
  • Ada ya uandikishaji
  • Matibabu ya nje (Outpatient)
  • Kulazwa (Inpatient)

12
Malipo kwa Watoa Huduma
  • Vipimo muhimu,
  • Upasuaji na
  • Dawa

13
9.1 MAHUDHURIO YA WAGONJWA
14
9.2 Mchanganuo wa Malipo
15
10.0 MAFANIKIO
  • Ramani ya Vituo vya Afya nchini
  • Uelewa wa wadau umeongezeka
  • Kuongezeka kwa malipo ya matibabu yameongezeka
  • Uboreshaji wa Mafao
  • Ushirikishwaji wa sekta binafsi katika kuchangia
    huduma za Afya nchini (PPP).

16
Mafanikio
  • Mtambo wa kutengeneza vitambulisho
  • Nchi zingine zinakuja kujifunza kwetu
  • Hati Safi za Hesabu (Clean Audit Reports)-
    (2001/02-2005/06)
  • Tathmini ya Mfuko/Actuarial Valuation

17
..Mafanikio
  • Ongezeko la wanachama
  • Mfumo wa kisasa wa malipo kwa Watoa Huduma
    (Premia)

18
11.0 CHANGAMOTO
  • Uhaba wa Dawa
  • Kupanda kwa Bei za Dawa
  • Upungufu wa Watumishi katika Vituo

19
Changamoto
  • Huduma vijijini (Watumishi, Dawa na Vifaa tiba)
  • Kuchelewa kuwasilisha madai kwenye ofisi za Mfuko
    kama sheria inavyoagiza (siku 60)

20
..Changamoto
  • Kuwasilisha madai yenye utata
  • Ukomo wa kisheria wa kiwango cha matumizi ya
    uendeshaji wa Mfuko
  • Ukimwi (HIV/AIDS)
  • Kodi ya mapato.

21
12.0 MATARAJIO NA MWELEKEO WA MFUKO
  • Kuwajumuisha Wastaafu kwenye Mfuko
  • Kuendeleza Elimu kwa Wadau (Siku ya Wadau,
    vipeperushi nk)
  • Usambazaji/Utoaji Huduma Vijijini (ADDOs, kutoa
    mikopo ya vifaa na kuongeza Ofisi zaidi za Kanda
  • Kupanua wigo wa Wanachama

22
.Matarajio na Mwelekeo
  • Kuimarisha kitengo cha Utafiti (RD)
  • Kuhamasisha dhana ya Mtu ni Afya
  • NHIF Cordinators nchini kote
  • Best Health Provider Award

23
13.0 SHUKRANI
  • Menejimenti ya Mfuko inatoa shukrani za dhati kwa
    Wizara ya Afya na wadau wote kwa ushauri na
    maelekezo mbalimbali.
  • Matumizi ya lugha chafu kwa wanachama yamepungua

24
Shukrani
  • Maendeleo katika utoaji wa huduma kwa
    wanachama(Daraja la I,II na madirisha maalum)
  • Kwa Kasi, Nguvu na Ari hii tunaamini azma ya
    Serikali ya Bima ya Afya kwa wananchi asilimia 45
    ifikapo mwaka 2014/15 ni dhahiri itafikiwa.

25
14.0 HITIMISHO
  • Ujenzi wa vituo vya Afya uende sambamba na umbali
    (Angalia Ramani ya Vituo)
  • Kuhakikisha utekelezaji wa Indent System na
    usimamizi wa dawa
  • Kuhimiza na kufuatilia utekelezaji wa miongozo ya
    matibabu na
  • Kuhakikisha kwamba fedha zinazolipwa na MTBA
    zinaboresha huduma na hasa vijijini.

26
ASANTENI SANA KWA KUNISIKILIZA

Kwa Maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia tovuti
ya Mfuko www.nhiftz.com MKURUGENZI MKUU, MFUKO
WA TAIFA WA BIMA YA AFYA S.L.P 11360, DAR ES
SALAAM Tel 0 255 2130826/2136406.
Write a Comment
User Comments (0)
About PowerShow.com