Title: Moduli ya 2
1Moduli ya 2
- Utangulizi kwa
- Jaribio la kitabibu
- Sehemu II
- Mwongozo wa mwezeshaji
2Zana hii ya kufundishia iliandaliwa na the
François-Xavier Bagnoud Center katika Chuo Kikuu
cha Medicine Dentistry of New Jersey, kwa msaada
wa Mtandao wa the International Maternal
Pediatric and Adolescent Clinical Trials
(IMPAACT).
- Dondoo kutoka machapisho haya zinaweza kutolewa
nakala bila kizuizi ama pia kutoholewa kwa
kutambua chimbuko lake, ili mradi machapisho hayo
yanafanyiwa nakala na kusambazwa bila ya
kutengeneza faida tu.
Claire Schuster, BS, MPH Network Community
Coordinator Social Scientific Systems,
Inc. EMail cschuster_at_s-3.com (301) 628-3319 ?
Chapisho la 1.1 Nov 2007
3Awamu za jaribio la kitabibu
- Awamu ya I Watu 1530
- Awamu ya II Chini ya watu 100
- Awamu ya III gtwatu100 kadhaa hadi maelfu ya watu
- Awamu ya IV
- gtBaada ya dawa kuingia katika soko. Idadi
inabadilika kutegemeana na taratibu za utoaji wa
dawa.
4Awamu ya I Usalama
- Lengo Kuainisha kama dawa ni salama katika
kikundi kidogo cha watu wa kujitolea wenye afya
njema.
5Awamu ya II ya jaribio usalama na manufaa
- Kama hakuna madhara makubwa ya ki-usalama katika
Awamu hiyo ya I, dawa hiyo inafanyiwa majaribio
katika Awamu ya II ya jaribio na kwa watu wengi
zaidi.
6Awamu ya III Usalama na manufaa
- Iwapo matokeo ya Awamu ya III yameonesha dawa
haina madhara makubwa ya ki-usalama na inaelekea
kuwa ya manufaa, watafiti wanafanya Awamu ya III
ya jaribio.
7Awamu ya III Manufaa na usalama
Tiba ya majaribio
- Malengo
- Kutafuta kujua ni kwa namna gani dawa inafanya
kazi (manufaa). - Kuendela kuhakiki usalama.
Ikilinganishwa na-
Tiba ya Kiwango
8Awamu ya IV ya jaribio
- Lengo Kuainisha usalama na manufaa ya muda
mrefu miongoni mwa idadi kubwa ya watu.
9Jaribio lililo-na-kithibiti
Matokeo
Kundi la uchunguzi
Sampuli ya jaribio
Ukilinganisha na
Matokeo
Kundi-kithibiti
10Usajili wa Washiriki
Kundi la uchunguzi
- Kumputa ndiyo inawapanga washiriki katika makundi
kwa mchakato ujulikanao kama kubahatisha.
Sampuli za Jaribio
R
Kundi-Kithibiti
R kuwaweka washiriki katika kundi la tiba
bila-mpangilio-maalum
11Bila kubahatishaupendeleo
Kundi la uchunguzi
Sampuli ya jaribio
R
Kundi-kithibiti
Wingi wa juu zaidi wa VVU
Wingi mdogo wa ya VVU
12Jaribio lenye kubahatisha, lenye kundi-kithibiti
13Majaribio yaliyofumbwa mara-mbili
- Kufumbwa mara- mbili Si mshiriki wala mtafiti
anayejua tiba aliyopangiwa mshiriki kipindi chote
cha utafiti.
14Majaribio yenye kithibiti cha-kipooza-uongo
- Inakuwaje iwapo hakuna dawa inayojulikana kuwa ni
tiba ya manufaa? - Watafiti hulinganisha dawa mpya na kipooza-uongo.
- Tiba ya kipooza-uongo na ile ya uchunguzi
huandaliwa kwa namna ambayo zinaonekana
zinafanana kabisa.
Kundi la uchunguzi
Ukilinganisha na-
Kundi kithibiti la Kipooza-uongo
15Jaribio la kithibiti cha kipooza-uongo
Uchunguzi
Kithibiti
16Maadili ya majaribio yenye kithibiti cha
kipooza-uongo
- Iwapo tiba ipo, kimaadili katika jaribio huwezi
kulipanga kundi moja lipatiwe kipooza-uongo bila
tiba yoyote. - Lakini kama hakuna tiba inayojulikana, hapo ndipo
kimaadili jaribio linaweza kujumuisha kundi
kithibiti la kipooza-uongo. Hii ni kwa sababu
kundi kithibiti la kipooza-uongo wanapatiwa tiba
ile ile iliyo sahihi iwapo wasingejiunga na
utafiti (matunzo ya kiwango).
17Maswali ya majadiliano
- Iwapo chanjo inagundulika ambayo inaweza kuzuia
uambukizi wa VVU wakati wa unyonyeshaji wa ziwa
la mama, je kimaadili ingekuwa sawa kwa kundi
moja kupata chanjo na kundi jingine kutopata
chanjo hiyo? - Iwapo dawa mpya ya kupunguza makali ya VVU (ARV)
imegundulika kwa ajili ya kutibu VVU, je
kimaadili ingekuwa sawa kujaribu dawa hiyo mpya
ya kupunguza makali ya VVU (ARV) kwa ulinganisho
na kundi kithibiti la kipooza-uongo?
18Kisa-Mkasa PACTG 076 au HIVNet 012
19PACTG 076
- Katika mwaka 1994, PACTG 076 ulikuwa ni utafiti
wa kwanza wa kitabibu kuuliza - Iwapo tutamtibu mama mjamzito na pia ukamtibu
mtoto wake wakati wa kuzaliwa na dawa ya ya
kupunguza makali ya VVU (ARV),je tiba hii
itapunguza hatari ya mtoto kupata uambukizo wa
VVU?
20Mpangilio wa jaribio la PACTG 076
- Mpangilio wa Kubahatisha wa ZDV ikilinganishwa
na- Kipooza-Uongo - Kufumbwa mara-mbili
- Kithibiti cha kipooza-uongo
21Matumizi ya kipooza-uongo
- Katika mazingira haya, je unahisi kwamba kutumia
kundi la kipooza-uongo katika jaribio hili ni
sawa kimaadili? - Hi kwa nini watafiti wanapenda kuwa na kundi
kithibiti la kipooza-uongo?
22Kigezo cha kujumuishwa na kuto-kujumuishwa
- Mwenye uambukizo wa VVU, ana mimba ya wiki 14-34
- Wingi wa idadi ya zaidi ya CD4 kwenye 200/mm3
- Hatumii dawa zozote za kuzuia makali ya VVU (ARV)
- Dawa za kuzuia makali ya VVU (ARV) hazijaainishwa
kwa ajili ya afya ya mwanamke huyu (kwa kigezo
kiwango katika kipindi hiki cha jaribio) - Uchunguzi wa dalili mbaya za mimba (Sonogram)
hakuna matatizo yoyote ya kutishia kuharibika kwa
mimba
23PACTG 076 mpangilio wa matukio
- Wanawake na watoto wachanga kuchunguzwa kwa
uangalifu sana na kwa vipindi vyenye mpangilio wa
mara kwa mara ili kuchunguza - Athari
- Dalili/ishara za uambukizo wa VVU (kwa watoto
wachanga)
24Ufuatiliaji
- Bodi ya usalama na ufuatiliaji (DSMB) ni kundi
la wanasayansi nje ya jaribio hilo ambao
hufuatiklia zile takwimu zilizofumbwa kipindi cha
jaribio.
25DSMB ya PACTG 076
- Katikati ya jaribio, DSMB walizilinganisha
takwimu kutoka kundi la ZDV na zile za kundi la
kipooza-uongo.
Kundi la ZDV Kundi la kipooza-uongo
26DSMB walichogundua
- Watoto wachanga ambao mama zao walikuwa katika
kundi la ZDV walikuwa na uwezekano kwa kiwango
kidogo zaidi kugundulika na uambukizo wa VVU
kuliko watoto wachanga ambao mama zao walikuwa
katika kundi la kipooza-uongo.
Kundi la ZDV Kundi la Kipooza-uongo
27Matokeo halisi PACTG 076
- Tunalo deni kubwa la kuwashukuru wale wanawake
waliojisajili katika jaribio hili.
28Muhstasari
- Majaribio ya kitabibu ndio njia iliyo bora zaidi
ya kupima usalama na umanufaa wa tiba mpya ya
VVU. Zipo awamu zenye hatua kadhaa katika
majaribio ya kitabibu. - Ule mpangilio wa jaribio la kitabibu ni muhimu.
Mpangilio sahihi utahakikisha kwamba jaribio ni
la usawa na matokeo yake kisayansi ni sahihi.
29Kisa Mkasa HIVNet 012
30PACTG 076 Jaribio la kwanza la kitabibu la
PMTCT la dawa ya kupunguza makali ya VVU (ARV)
- Mpangilio wa kubahatisha
- ZDV ikilinganishwa na Kipooza uongo
- Jaribio Lililofumbwa mara-mbili
- Lenye kundi kithibiti cha kipooza-uongo
31DSMB
- Bodi ya usalama na ufuatiliaji
- Wanasayansi ambao sio watendaji katika jaribio
hilo, lakini huchunguza zile takwimu wakati wa
jaribio (ambazo bado hazijafumbuliwa) ili
kugundua matatizo. - Katika kisa hiki cha PACTG 076, ile DSMB
iligundua kwamba mojawapo ya makundi lilikuwa na
uwezekano wa hatari ndogo zaidi ya uambukizo wa
mama kwenda kwa mtoto.
32HIVNet 012
- Kutambua njia salama, ya manufaa ya PMTCT ambayo
pia itakuwa muafaka na ambayo watu wa mazingira
yenye rasilimali duni wanaweza kuimudu
33Maswali ya majaliano
- Unafikiria nini juu ya maadili ya kujumuisha
kundi la kipooza-uongo katika jaribio hili
ukilinganisha na kuto-kulijumuisha? - Kile kiwango cha matunzo huko Uganda kwa kipindi
hicho ambapo hapakuwepo na dawa za kupunguza
makali ya VVU (ARV) zilizokuwa zinapatikana. - Kile kiwango cha matunzo katika nchi tajiri zaidi
kilikuwa ni tiba ya kuzuia ugonjwa (prophylaxis)
kwa kutumia dawa za kupunguza makali ya VVU (ARV)
kwa ajili ya PMTCT.
34HIVNet 012
- ZDV dawa inayofanya kazi katika muda mfupi
- NVP Dawa inayofanya kazi kwa muda mrefu zaidi
35Mpangilio wa jaribio
- Ya-bila mpangilio
- Iliyo-wazi
- Jaribio la kulinganisha Dozi ya chini ya ZDV
ikilinganishwa na dozi moja tu ya nevirapine
(dozi moja tu kwa kila mama na kila mtoto mchanga)
36Mpangilio wa jaribio
- Washiriki
- Wanawake wajawazito wasio na uambukizo wa VVU
- Hawana uambukizo wa ugonjwa hatari au uambukizo
wa aina nyingine yoyote - Hawatumii aina nyingine yoyote ya dawa za
kupunguza makali ya VVU (ARV) - Umri zaidi ya miaka 18
- Ujauzito wa angalau wiki 32
- Kuhudhuria kliniki ya kabla ya kuzaa
37Mpangilio wa matukio
- Watoto wachanga kuchunguzwa kwa uangalifu sana na
kwa vipindi vyenye mpangilio wa mara kwa mara. - Kuchunguza
- Athari
- Dalili/ishara za uambukizo wa VVU
38Matokeo ya HIVNet 012
- Watoto wachanga kutoka katika lile kundi la NVP
walikuwa na uwezekano mdogo zaidi wa kuzaliwa na
uambukizo wa VVU kuliko watoto wachanga kutoka
katika lile kundi ambalo walipatiwa ZDV.
Kundi la ZDV
Kundi la NVP
39Swali la majadiliano
- Ni kwa namna gani unadhani utafiti unaweza
kusaidia kushughulikia uambukizo wa mama kwenda
kwa mtoto kati ya nchi tajiri na zile maskini? - Je unaweza kufikiria juu ya swali la utafiti la
kuuliza?
40Muhstasari
- Majaribio ya kitabibu ndio njia iliyo bora zaidi
ya kupima usalama na umanufaa wa tiba mpya ya
VVU. Zipo awamu zenye hatua kadhaa katika
majaribio ya kitabibu. - Ule mpangilio wa jaribio la kitabibu ni muhimu.
Mpangilio sahihi utahakikisha kwamba jaribio ni
la usawa na matokeo yake kisayansi ni sahihi.