Namna ya kupandikiza kitambaa cha kuua ndorobo - PowerPoint PPT Presentation

1 / 10
About This Presentation
Title:

Namna ya kupandikiza kitambaa cha kuua ndorobo

Description:

Title: Slide 1 Author: FITCA Last modified by: Ken Campbell Created Date: 10/7/2003 7:25:34 AM Document presentation format: On-screen Show Other titles – PowerPoint PPT presentation

Number of Views:76
Avg rating:3.0/5.0
Slides: 11
Provided by: FIT131
Category:

less

Transcript and Presenter's Notes

Title: Namna ya kupandikiza kitambaa cha kuua ndorobo


1
Namna ya kupandikiza kitambaa cha kuua ndorobo
1
2
2
Chagua eneo ambalo kitambaa kitaonekana toka
pande zote
3
3
Fyeka majani na kuondoa vichaka vyote
4
4
Eneo lililo chaguliwa na kufyekwa vizuri.
5
5
Kata fito 2 nene zilizonyooka
6
6
Pungua urefu wa fito kufikia mita moja na nusu
7
Hakikisha vitu hivi vyote vipo...
Fito
Vivutio
Lebo
Waya
Kitambaa cha kuua ndorobo
Vifaa
7
8
Jaribu uelekeo wa upepo kwa kurusha majani makavu
Pandikiza kitambaa cha kuua ndorobo kuelekea
upepo unakokwenda
8
9
Tumia kitambaa kupimia sehemu za kuchimbia fito
9
10
10
Weka alama kwenye sehemu za kuchimba mashimo
Write a Comment
User Comments (0)
About PowerShow.com